iqna

IQNA

Tafsiri na Wafasiri wa Qur'ani Tukufu /18
TEHRAN (IQNA) – Katika Tafsir al-Safi, Mulla Muhsin Fayz (Fayd) Kashani amefasiri Aya za Qur’ani Tukufu kwa kuzingatia Hadithi kutoka kwa Maasumin (AS) ambao ni kutoka nyumba ya Mtume Muhammad (SAW).
Habari ID: 3476587    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/19